Kishiko lingishi
Katika utarakilishi na kiolesura michoro cha mtumiaji, kishiko lingishi (kwa Kiingereza: sizing handle au adjustment handle) ni kisanduku ambacho kinaweza kubadilisha ukubwa na umbo la elementi iliyochaguliwa na mtumiaji.
Kishiko lingishi ni elementi dhibiti iliyoonyeshwa katika pembe na ukingo wa elementi iliyochaguliwa.
Marejeo
hariri- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |