Kishilha

Kishilha (pia: Kitachelhit) ni moja kati ya "lugha za Kiberberi" na kuzungumzwa na zaidi ya watu milioni 8 hasa Moroko.

Mvulana akiongea Kitachelhit.

Kishilha ni kati ya lugha za Kiafrika-Kiasia. Wasemaji watazamwa kuwa kati ya wakazi asilia wa Afrika ya Kaskazini.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishilha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.