Kishili
Kishili ni kata ya Manisipaa ya Nyamagana katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania, yenye msimbo wa posta namba 33119 [1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 63,054 [2]. Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi wa kata ilikadiriwa kuwa watu 29,073.
[3]Wakazi wa Kata hii wamechanganyika makabila zaidi ya matano ikiwemo wasukuma ambao ndio wazawa wa eneo hilo.
Shughli za kiuchumi zinazofanyika Kata ya Kishili ni pamoja na ujasiriamali na kilimo. Kipato cha Wakazi wengi ni Cha kati, na wengine ni Cha chini kuweza kukidhi tu mahitaji ya kila siku.
Kata ya Kishili Ina taasisi mbalimbali za kijamii ikiwemo shule ya msingi Kishili, shule ya sekondari Igoma, makanisa ya kikristu, misikiti, na vituo binafsi vya afya.
Marejeo
hariri- ↑ Tanzania Postcode List
- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 182
- ↑ Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam April 2016, iliangaliwa Mei 2021
Kata za Manisipaa ya Nyamagana - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Buhongwa | Butimba | Igogo | Igoma | Isamilo | Kishili | Luchelele | Lwanhima | Mabatini | Mahina | Mbugani | Mhandu | Mirongo | Mkolani | Mkuyuni | Nyamagana | Nyegezi | Pamba |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kishili kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |