Kisian ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasian. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisian imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Kwa vile Wasian wameacha lugha yao na kutumia lugha nyingine badala yake, Kisian iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisian iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.