Kisikaiana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wasikaiana kwenye kisiwa cha Sikaiana. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kisikaiana imehesabiwa kuwa watu 730. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisikaiana iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisikaiana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.