Kisikkim ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasikkim. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisikkim imehesabiwa kuwa watu 70,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisikkim iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisikkim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.