Kisikongo
(Elekezwa kutoka Kisikongo (lugha))
Kisikongo (pia Kikongo ya San Salvador) ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Angola inayozungumzwa na Wasikongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisikongo imehesabiwa kuwa watu 537,000 katika Jamhuri na watu 328,000 nchini Angola. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisikongo iko katika kundi la H10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisikongo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisikongo
- lugha ya Kisikongo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kwy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisikongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |