Kisila ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wasila. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kisila imehesabiwa kuwa watu 1770 nchini Uchina. Pia kuna wasemaji 710 nchini Vietnam (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisila iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.