Kisimeulue ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasimeulue kwenye visiwa vya Simeulue, Babi na Banjak. Idadi ya wasemaji wa Kisimeulue imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisimeulue iko katika kundi la Kisumatra.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisimeulue kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.