Kisiwa cha Chabalewa

Kisiwa cha Chabalewa ni kati ya visiwa vya mkoa wa Kagera, nchini Tanzania, mpakani mwa Rwanda.

Kinapatikana katika ziwa linaloundwa na mto Kagera kabla haujaishia katika ziwa Nyanza.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Chabalewa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.