Kisiwa cha Hilali (kwa Kiingereza: Crescent Island) ni kisiwa cha kaunti ya Nakuru, nchini Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Naivasha.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri