Ziwa Naivasha
Ziwa nchini Kenya
Ziwa Naivasha ni moja ya maziwa makubwa nchini Kenya (Kaunti ya Nakuru).
| |
Nchi zinazopakana | Kenya |
Eneo la maji | km² 139 |
Kina cha chini | m 6 |
Mito inayoingia | mto Gilgil, mto Malewa |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB |
m 1884 |
Miji mikubwa ufukoni | Naivasha |
Ndani yake vinapatikana visiwa vifuatavyo:
- Kisiwa cha Hilali (kaunti ya Nakuru)
- Kisiwa cha Mbuzi (kaunti ya Nakuru)
- Kisiwa cha Lotus (kaunti ya Nakuru)
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Ziwa Naivasha Ilihifadhiwa 13 Septemba 2017 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Naivasha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |