Kisiwa cha Irugwa
Kisiwa cha Irugwa ni kati ya visiwa vya kaskazini mwa Tanzania, Wilaya ya Ukerewe.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Irugwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |