Wilaya ya Ukerewe

Wilaya ya Ukerewe ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,944 [1].

Mahali pa visiwa vya Ukerewe (kijani kilichokoza) katika mkoa wa Mwanza kabla ya kumegwa.

Eneo la wilaya hii liko kwenye visiwa ndani ya ziwa Viktoria Nyanza, hasa visiwa viwili vikubwa vya Ukerewe na Ukara pamoja na visiwa vidogo.

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ukerewe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
  Kata za Wilaya ya Ukerewe - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

BukandaBukikoBukindoBukongoBukunguBwiroBwisyaIgallaIlangalaIrugwaKageraKagunguliKakeregeMukituntuMuritiMurutunguruNakatunguruNamagondoNamilembeNansioNdurumaNgomaNkilizyaNyamanga