Kisiwa cha Kijani (kwa Kiingereza: Green Island) ni kisiwa cha kaunti ya Busia, magharibi mwa Kenya.

Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri