Kiskou ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waskou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiskou imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiskou iko katika kundi lake lenyewe la Kiskou.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiskou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.