Kiso (Kamerun)

(Elekezwa kutoka Kiso (lugha ya Kamerun))

Kiso ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waso. Isichanganywe na Kiso cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiso imehesabiwa kuwa watu 9,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiso iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiso (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.