Kisonde ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasonde. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisonde imehesabiwa kuwa watu 96,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisonde iko katika kundi la H30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisonde (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.