Kikoyra-Chiini
(Elekezwa kutoka Kisonghay, Koyra Chiini)
Kikoyra-Chiini ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Mali inayozungumzwa na Wasonghay. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikoyra-Chiini imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoyra-Chiini iko katika kundi la Kisonghay.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijoyra kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoyra Archived 11 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikoyra katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/khq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoyra-Chiini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |