Kikoyraboro-Senni
(Elekezwa kutoka Kisonghay, Koyraboro Senni)
Kikoyraboro-Senni (au Kisonghay-Mashariki) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Mali inayozungumzwa na Wasonghay. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikoyraboro-Senni imehesabiwa kuwa watu 430,000; wasemaji 300,000 huongea Kikoyraboro tu bila kufahamu lugha nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoyraboro-Senni iko katika kundi la Kisonghay.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikoyraboro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoyraboro Archived 16 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikoyraboro katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ses
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoyraboro-Senni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |