Kisowanda ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya na Indonesia inayozungumzwa na Wasowanda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisowanda nchini Papua Guinea Mpya imehesabiwa kuwa watu 970. Pia kuna watu 210 nchini Indonesia (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisowanda iko katika kundi la Kiwaris.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisowanda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.