Kistod-Bhoti ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wastod. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kistod-Bhoti imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kistod-Bhoti iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kistod-Bhoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.