Kisuundi

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kongo

Kisuundi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wasuundi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisuundi imehesabiwa kuwa watu 121,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisuundi iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisuundi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.