Kiswati
(Elekezwa kutoka Kiswazi)
Kiswati (pia Kiswazi) ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waswati. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiswati nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 1,010,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiswati iko katika kundi la S40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiswati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiswati
- lugha ya Kiswati katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ssw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiswati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |