Kitày ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wathai. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitày imehesabiwa kuwa watu 1,630,000. Pia inawezekana kuna wasemaji wachache nchini Uchina na Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitày iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitày kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.