Kitabaru
Kitabaru ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watabaru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitabaru imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitabaru iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitabaru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitabaru
- lugha ya Kitabaru katika Glottolog
- lugha ya Kitabaru kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitabaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |