Kitai-Dón
Kitai-Dón ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam, Uchina na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitai-Dón nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Laos (1995) na wasemaji 15,000 nchini Uchina (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Dón iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitai-Dón kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitai-Dón
- lugha ya Kitai-Dón katika Glottolog
- lugha ya Kitai-Dón kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Dón kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |