Kitai-Daeng ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitai-Daeng nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Laos (1991). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Daeng iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Daeng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.