Kitai-Nüa ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina, Vietnam, Myanmar na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitai-Nüa nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 540,000. Pia kuna wasemaji 72,400 nchini Myanmar (1983), 70,000 nchini Vietnam (2007) na 35,000 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Nüa iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Nüa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.