Kitairaha (au Kibauro) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Watairaha kwenye kisiwa cha Makira. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitairaha imehesabiwa kuwa watu 4980. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitairaha iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitairaha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.