Kitaje ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataje kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitaje imehesabiwa kuwa watu 350 tu; lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaje iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaje kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.