Kitalinga-Bwisi (lugha)

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda

Kitalinga-Bwisi (pia Lubwisi) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wabwisi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitalinga-Bwisi nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 68,500. Pia kuna wasemaji kama 30,000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitalinga-Bwisi iko katika kundi la J20.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitalinga-Bwisi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.