Kitama (Chad)

(Elekezwa kutoka Kitama (Sudan))

Kitama ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Watama. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitama nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 62,900. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Sudan (1970). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitama iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitama (Chad) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.