Kitamagario ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Watamagario. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitamagario imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamagario iko katika kundi la Kikayagar.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamagario kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.