Kitamajaq (pia Kitawallammat) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Niger na Mali inayozungumzwa na Watamajaq. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitamajaq nchini Niger imehesabiwa kuwa watu 450,000. Pia kuna wasemaji 190,000 nchini Mali na wachache wengine nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamajaq iko katika kundi la Kiberber.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamajaq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.