Kitamang-Mashariki

Kitamang ya Mashariki ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Watamang. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitamang ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 1,180,000 nchini Nepal na 17,500 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitamang ya Mashariki iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamang-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.