Kitanibili
Kitanibili ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Watanibili kwenye kisiwa cha Utupua. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitanibili imehesabiwa kuwa watu 15 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitanibili iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitanibili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitanibili
- lugha ya Kitanibili katika Glottolog
- lugha ya Kitanibili kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitanibili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |