Kitebi (au Kidubu) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watebi. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitebi imehesabiwa kuwa watu 220, na wengi wameanza kuacha lugha yao, yaani Kitebi iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitebi iko katika kundi la Kipauwasi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitebi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.