Kitedaga (pia Kitebu) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad, Niger na Nigeria inayozungumzwa na Wateda. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitedaga nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 28,500. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Niger na 2000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitedaga iko katika kundi la Kisahara ya Mashariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitedaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.