Kiteke-Ibali (lugha)
Kikundi kidogo cha lugha za Kibantu zinazozungumzwa nchini Gabon, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kiteke-Ibali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wateke-Ibali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Ibali katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu 167,000. Pia kuna wasemaji 36,200 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Ibali iko katika kundi la B70.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiteke kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiteke
- lugha ya Kiteke katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tek
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Ibali (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |