Kiteke-Nzikou ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wateke. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa lugha zote za Kiteke nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 490,000 ila idadi ya wasemaji wa Kiteke-Nzikou haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Nzikou iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Nzikou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.