Kiteuzi
Katika utarakilishi, kiteuzi (kwa Kiingereza: selector or pointing device) kinamwezeshaa mtumiaji kudhibiti michoro data katika tarakilishi. Kwa mfano, kipanya au kiguso ni viteuzi.

Kipanya chekundu.

Kiguso cha IBM Notebook.
MarejeoEdit
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).