Kitho ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Watho. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitho imehesabiwa kuwa watu 68,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitho iko katika kundi la Kicuoi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.