Kithulung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wathulung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kithulung nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 20,700. Pia kuna wasemaji wengine nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kithulung iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithulung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.