Kitibea ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watibea. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kitibea imehesabiwa kuwa watu 1400 katika vijiji vitatu tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitibea iko katika kundi la A50.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitibea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.