Kitibeti

(Elekezwa kutoka Kitibet)

Kitibeti ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Watibeti. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitibeti nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 1,070,000. Pia kuna wasemaji 85,300 nchini Uhindi (2001) na wasemaji 4450 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitibeti iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitibeti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.