Kitikopia ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Watikopia kwenye kisiwa cha Tikopia. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitikopia imehesabiwa kuwa watu 3320. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitikopia iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitikopia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.