Kitila Alexander Mkumbo ni mwanasiasa wa CCM wa Tanzania na mbunge anayewakilisha jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam tangu mwaka 2020.[1]

Kitaaluma ni profesa kutoka kitivo cha elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na alikuwa Waziri wa Uwekezaji chini ya ofisi ya Rais, kwa sasa kama Viwanda na Biashara.[2]

Wakati wa uongozi wa John Magufuli alimteua profesa Mkumbo kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji.[3]

Marejeo hariri

  1. "Bunge Polis". www.parliament.go.tz. Iliwekwa mnamo 2021-07-24. 
  2. "Prof Kitila Mkumbo". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-24. 
  3. "Prof. Kitila Mkumbo Profile under Ministry of Water and Irrigation" (PDF).