Kito'abaita ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Wato'abaita kwenye kisiwa cha Malaita. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kito'abaita imehesabiwa kuwa watu 12,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kito'abaita iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kito'abaita kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.