Kito (lugha)

Kito ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na wanaume Wagbaya kama lugha ya siri. Hakuna waiongeao kama lugha ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kito iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kito (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.